Hii ni video inayo elekeza jinsi ya kuingiza pesa kwenye binance ili uzitumie kununua coin kama USDT na zenginezo .
17 gedachten over “Jinsi ya kuweka Pesa kwenye Binance / jinsi ya kununua coin . KUBADILI TSH KUWA USDT@Vinei”
Reacties zijn gesloten.
Big up sanaa mzee✊✊✊
Nakubali sana kaka
Na kwa system ya bank
Kazi nzuli.kaka
Bwana mkubwaa.tengeneza bac aprication yakuseti vide ringtone when incoming call
Nisha weka
kaka haimaanishi hatuoni video zako.hapana tunaziona ila tunazotazama nizile zinazo ongelea maswala ya pesa.
So yeye ata kutumia moja Kwa moja sio
Tunafunguaje account ya binance
Naomba namba yako
Cjaelewa jinsi ya kubadilisha USD & TZS
Naomba nitumie namba yako ya WhatsApp mbona inanileta mapicha picha siewi
Mbn haijamaliza
Kazi nzuri brother keep working 🙏🙏🙏
Unajua sana mzee
Nisaidie nili deposit from trust wallet to earn wallet kwenye Binance bila kupita spot nafanye nili invest Usdt flexible
Unauza usdt
Vp kuusu Bitcoin