JIFUNZE KUTUMIA BINANCE WALLET KUVUNA PESA KILA SIKU MTANDAONI


Nawashukuru wote mnaoendelea kufuatilia video zangu youtube kama huja Subscribe basi jiunge na familia ya wajanja mjini,wanaotumia fursa mtandaoni kujipatia pesa; Katika video hii leo nitakufundisha.
1=Jinsi ya Kuunganisha Binance wallet yako na Platform za kutengeneza pesa mtandaoni.
2=Nitakufundisha kutoa Hela kutoka kwenye Platform kukufikia kwenye Binance
3=Kubadili Binance Lite=Binance Pro kwa sekunde mbili na mengine mengine mengi.
NB;Wajibu wangu ni kukujengea uwezo kimtandaoni hatua kwa hatua,ukiwa na swali usisite kuniuliza kuhusu masuala mbalimbali ya mtandao na fursa zake.

================================================
EARNING DISCLAIMER:
This channel is for educational purposes only. There is no guarantee that you will earn any money using the techniques and ideas mentioned on this channel. This is not financial advice. Your level of success in attaining the results claimed on this channel will require hard-work, experience, and knowledge.

____________________
About me🙋
I’m very interested in Technology, Affiliate Marketing, Digital Earning, Money-Making, Graphic Designing, and Eating🤪

Subscribe 🔨
(Disclaimer : I cannot guarantee that it’s 100% safe but I’m doing it too)

12 gedachten over “JIFUNZE KUTUMIA BINANCE WALLET KUVUNA PESA KILA SIKU MTANDAONI”

  1. Naomba unisaidie namna ya kutoa pesa zangu kwenye OkX wallet

  2. Asanteee sana saan sana umenisaidia sana

Reacties zijn gesloten.